Fikiri Mrindwa amekabidhiwa fomu ya uteuzi ya Mgombea Ubunge katika Jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya chama cha Tanzania Labour Party (TLP).
Fomu hiyo amekabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Kusini Ndg. Acland Kambili, Leo tarehe 14 Agosti,2025 katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi.
District Executive Director (DED)
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0713518891
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.