MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA UVINZA ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE
KUSHIRIKI KWENYE KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI KITAKACHOFANYIKA LEO SIKU YA JUMATANO TAREHE 07/06/2023.
KIKAO HIKI KITAFANYIKA KATIKA UKUMBI WA JENGO LA UTAWALA HOSPITALI YA WILAYA UVINZA KUANZIA SAA TANO KAMILI ASUBUHI.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.