Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma Kusini Ndg Acland Kambili amekabidhi fomu za uteuzi wa mgombea wa nafasi ya Ubunge Bw. Kihumbi Mussa kupitia chama cha National Reconstruction Alliance (NRA) kwa Jimbo la Kigoma Kusini.
Makabidhiano hayo yamefanyika mnamo tarehe 16 Agosti, 2025 katika Ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya Uvinza.
District Executive Director (DED)
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0713518891
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.