• Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Complaints |
    • Gms |
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Government Web Framework

  • Mwanzo
  • madiwani
    • madiwani
      • dodoma
    • Kikuyu
    • Regional Leaders
  • Idara/Vitengo
    • Regional Secretariat Structure
    • Sections
      • Rasilimali watu
      • Planning and Cordination
      • Economy and Production
      • Miundombinu
      • Local Government
      • Afya
      • Elimu
      • Maji
    • Kitengo
      • Finance and Accounts
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Information and Communication Technologies
      • Legal Services
  • Wilaya
    • Ilemela
    • Nyamagana
    • Magu
    • Misungwi
    • Kwimba
    • Sengerema
    • Ukerewa
  • Councils
    • Buchosa DC
    • Ilemela MC
    • Kwimba DC
    • Magu DC
    • Misungwi DC
    • Mwanza CC
    • Sengerema DC
    • Ukerewe DC
  • Investiment Opportunity
    • Kilimo
    • Mifugo
    • HUDUMA
    • Industries and Trade
    • Mining
    • Fishing
  • Tourism Centers
    • Saanane National Park
    • Bujora
    • Bismarck Rocks
    • Nyakuberega
    • Nyamadoke
  • Kituo Cha Habari
    • Habari
    • Matangazo
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
  • Machapisho
    • Fomu
    • Miongozo Mbalimbali
    • Ripoti Mbalimbali

Nawezaje kupata Leseni ya Biashara?

LESENI ZA BIASHARA NA VILEO

Ofis ya Biashara inahusika na utoaji wa huduma za lesini ikiwemo za leseni za biashara na leseni za vileo.

A: Leseni ya Biashara 

Hiki ni kibali maalum cha Serikali kinachotolewa kwa mfanyabiashara yeyote anapotaka kufanya biashara hapa nchini. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 – Kifungu cha 3(a) kimeweka bayana kuwa, Kibali hicho maalumu kinaitwa Leseni ya Biashara. Kwa hiyo basi, kufanya biashara yoyote bila kuwa na kibali hiki ni kosa la jinai.

Ili Mwombaji Apate Leseni Ya Biashara Anapaswa Kumbatanisha Nyaraka Zifuatazo:

  •  Nakala ya hati ya kuandikisha jina la Biashara au Kampuni (Photocopy of Certificate of Incorporation or Registration & Extract);
  • “Memorandum, and Articles of Association” ambazo zitaonyesha kuwa Kampuni imeruhusiwa kisheria kufanya biashara inayoombwa, pamoja na majina ya wamiliki wa kampuni, hisa zao na utaifa wao;
  •  Uthibitisho wa uraia kwa kuwasilisha, nakala ya hati ya kusafiri nje ya nchi ya Tanzania au hati ya kusafiri katika nchi za Afrika Mashariki, cheti cha kuzaliwa au hati ya kiapo (Affidavit) kuonyesha kuwa ni Mtanzania, na kama mgeni alete hati ya kuishi nchini daraja la kwanza (Residence Permit Class A).
  • Endapo wenye hisa wote wapo nje ya nchi itabidi maombi yaambatane na hati ya kiwakili (Power of Attorney) ya kumpa mamlaka raia wa Tanzania, raia wa kigeni mwenye hati ya kuishi nchini daraja “A” au hati ya kufanya kazi nchini daraja “B” zinazoainisha kuwa anasimamia kampuni husika.
  •  Nakala ya ushahidi wa maandishi kuwa ana mahali pa kufanyia biashara (lease agreement, Title deed, Certificate of occupancy, e.t.c); 
  •  Hati ya kujiandikisha kama mlipa kodi (Tax Payer Identification Number - TIN).

Utaratibu Wa Kupewa Leseni:

Jaza fomu ya maombi ya Leseni (TFN 211 ya 2004) ... Pakua fomu ya maombi hapa...



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI WILAYA YA UVINZA August 23, 2024
  • HER YA SIKUKUU YA SABASABA July 07, 2022
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI June 07, 2023
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA TANO NA VYUO June 12, 2023
  • Angaliza Zote

Taarifa za hivi Punde

  • ELIMU YA DHANA ZA UFUNDISHAJI KWA WALIMU WAKUU NA WALIMU WA MEMKWA

    August 21, 2025
  • Mgombea NRA amechukua fomu ya uteuzi

    August 21, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE TLP AMEKABIDHIWA FOMU YA UTEUZI

    August 15, 2025
  • DED awaaga washiriki wa SHIMISHIMITA Tanga

    August 13, 2025
  • Angaliza Zote

Video

Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • News

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • Utumishi na Utawala Bora
  • TOVUTI YA MKOA WA KIGOMA
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    District Executive Director (DED)

    Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA

    Simu ya Mezani: 0282988503

    Simu: 0713518891

    Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Maswali na Majibu
    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.