Saturday 23rd, September 2023
@UKUMBI WA SHULE YA MSINGI MAALUM - UVINZA
OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA UVINZA INATARAJIA KUFANYA USAILI KWA AWAMU MBILI:
1. Awamu ya kwanza itafanyika tarehe 27 Des, 2017 kwa wote walioitwa kwenye usaili katika ukumbi wa Shule ya msingi maalum.
2. Awmu ya pili itafanyika tarehe 29 Des, 2017 kwa wale watakao chaguliwa kwenye awamu ya kwanza.
WOTE MNATAKIWA KUFIKA BILA KUKOSA. TETEA NAFASI YAKO:
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.