Tujikumbushe matukio ya mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2018, katika Wilaya ya Uvinza.
Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza inaendelea na mchakato wa kuwaajiri watendaji 10 wa vijiji. Kwa mujibu wa maelezo ya Afisa Utumishi, anatarajia kuwa wamaeingizwa kwenye mfumo wa watumishi wa Serikali (Lawson) ndani ya mwezi huu. Watendaji hao wamepatikana baada ya kupitia usali uliofanyika tarehe 27/12/2017 na 29/12/2017.
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.