Posted on: December 10th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh. Dinah Mathamani ambaye ni mgeni rasmi amewataka wananchi kufanya maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika kwa shughuli za kimaendeleo na kuweka kumbukumbu kupitia ut...
Posted on: December 10th, 2023
Katika kilele cha maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika inayofanyikia shule ya msingi Kabuyange Ilagala, Wilaya ya Uvinza imepanda miti itakayosaidia utunzaji wa mazingira katika shule ya msingi Kabuyang...
Posted on: December 9th, 2023
Kuelekea siku ya maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanganyika, Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mh Dinah Mathamani ameongoza zoezi la usafi Katika hospitali ya Wilaya Uvinza.</p>
<p>Watumishi wamejitojez...