Posted on: May 31st, 2024
DC Uvinza Mh. Dinah Mathamani katika kikao cha tathimini ya Mwenge wa Uhuru 2023 na maandalizi ya ujio wa Mwenge wa Uhuru 2024 katika ukumbi wa Jengo la utawala Halmashauri ya Wilaya Uvinza.</p>...
Posted on: May 30th, 2024
DED Uvinza Ndg Fred Milanzi amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miradi inayotekelezwa na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe Rais Dr. Samia Suluhu Hassan</p>...