Posted on: October 19th, 2024
Zoezi la uandikishaji daftari la wapiga kura uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaendelea katika vituo mbalimbali, Kandaga, Kalenge, Mpeta na Mganza.</p>...
Posted on: October 18th, 2024
Msimamizi wa uchaguzi Wilaya ya Uvinza Ndg. Fred Milanzi amewaasa wananchi kuendelea kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura wa uchaguzi serikali za Mitaa 2024. Ameyasema hayo alipokuwa...
Posted on: October 17th, 2024
Utekelezaji wa mradi wa TUWAAMBIE KABLA HAWAJAAMBIWA. Elimu hii imetolewa na AINSP. Winifrida , DSGT. Ramadhani, Eric Ernest Afisa Ustawi Wilaya ya Uvinza, Selestine na DCPL Lea, katika Shule ya sekon...