Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango Halmashauri ya Wilaya Uvinza imetembelea Miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo, mradi wa shule Maalum ya wasichana ya Mkoa wa Kigoma iliyopo makao makuu ya Wilaya Lugufu, kujua hatua zinazoendelea katika ujenzi .
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.