Afisa Utumishi wa Wilaya , Bw. Acland Kambili akiongoza kikao kazi cha watenadaji wa Kata 16 za Halmashauri ya wilaya Uvinza katika kukumbushana majukumu. kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa afya zamani wa wilaya ikiwa ni jitihada za kuleta maendeleo ya halmashauri.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.