• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
UVINZA DISTRICT COUNCIL
UVINZA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Idara/Vitengo
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mpango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo yaJamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Mipango miji na mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Whe. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA UVINZA WAPATA NEEMA

Posted on: March 27th, 2018

Mkuu wa wilaya ya Uvinza, Mwanamvua Mrindoko siku ya tarehe 24 March, 2018 alishiriki ujenzi wa Madarasa na Maabara katika shule ya sekondari Basanza, huu ni mwendelezo wa kushiriki pamoja na wananchi wa kata 9 zinazojengwa madarasa hayo ambazo ni Basanza, Mwakizega, Mganza, Kazuramimba, Mtegowanoti, Nguruka, Uvinza, Ilagala na Sunuka zilizopo wilaya ya Uvinza.

Katika juhudi hizo za kuondoa uhaba wa madarasa zikiongozwa na Mkuu wa Wilaya kwa kushirikiana na viongozi wengine pamoja na wananchi, jumla ya madarasa 44 na maabara 6 yanajengwa kwa nguvu za wananchi. Kazi hii ilianza Desemba 2017 hadi sasa madarasa 27 yapo hatua ya umaliziaji na 17 yapo hatua ya kufunga lenta.

Katika shule ya sekondari Basanza ambapo Mkuu wa wilaya alishirikiana na wananchi siku hiyo, uchimbaji wa msingi wa maabara 3 ulikamilika, pia matofari na mawe yalikusanywa eneo la ujenzi tayari kuanza kazi.

“Hakuna mtoto aliyefaulu darasa la saba atakayekosa nafasi ya kujiunga na kidatao cha kwanza” alisema Mkuu wa wilaya wakati akiongea na wananchi wa Basanza. Aliongeza kuwa tunatekeleza Ilani ya Uchaguzi ya CCM kwa vitendo.  Pia aliwapongeza wananchi wa Uvinza kwa namna wanavyojitolea kumaliza changamoto zao.

Mkuu wa wilaya alimalizia kwa kusema, “ Mgufuli hoyeeeeee”


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Uvinza Bw. Masumbuko Keche

 akimtwisha tofali Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mhe. Mwanamvua Mrindiko


Mkuu wa Wilaya ya Uvinza Mhe, Mwanamvua Mrindoko akishiriki kuchimba msingi.

Mhe. Mwanamvua Mrindoko mkuu wa wilaya ya Uvinza akizungu,za na wanachi wa kata ya Basanza 

Matangazo

  • HER YA SIKUKUU YA SABASABA July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA SENSA July 18, 2022
  • TANGAZO WASIO NA NIDA July 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 25, 2022
  • Angaliza Zote

Taarifa za hivi Punde

  • Elimu ya Usafi wa Mazingira

    July 20, 2022
  • Mgogoro wa mipaka kikwazo cha Maendeleo - Basanza

    July 20, 2022
  • KAMPENI YA NYUMBA NI CHOO

    July 12, 2022
  • MAFUNZO STADI ZA MAISHA VIJANA 40

    July 21, 2022
  • Angaliza Zote

Video

MAELEZO YA Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Uvinza na Mkurugenzi Mtengaji Kuelekea Nanenane 2020
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • News

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • Utumishi na Utawala Bora
  • TOVUTI YA MKOA WA KIGOMA
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uvinza - Lugufu Area

    Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA

    Simu ya Mezani: 0282988503

    Simu: 0757894484

    Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.