Kikao kazi cha Mfumo wa Ujifunzaji Kielectroniki (MUKI) kwa wakuu wa idara na vitengo Halmashauri ya wilaya Uvinza kimefanyika katika ukumbi wa afya chini ya mradi wa PS unaofadhiliwa na Shirika la maendeleo la watu wa marekani USAID
wakuu wa idara wakijadili Mfumo wa Ujifunzaji Kielectroniki
Naye kaimu mkuu wa Idara ya elimu msingi Shingwa H. Shingwa akisisitiza umuhimu wa utoaji taarifa unavyosaidia kutataua changamoto za shule.
kwa upande wake mkuu wa idara elimu sekondari ameahidi kushughulikia sanduku za maoni mashuleni ili kupata taarifa na matatizo ya wanafunzi kwa wakati
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.