Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Uvinza Bi. Zaibu S. Mbunda amewataka wananchi wa Uvinza kuzingatia elimu inayotolewa na wataalum wa lishe ili kukabiliana na tatizo la utapiamlo.
Bi. Zainabu amesema elimu ya lishe sio kwa Watoto tu hata watu wazima wanakubwa na utapiamlo hivyo amesema vijana wanapaswa kuhudhulia elimu ya lishe kila wanapopata fursa za kujifunza kwani ni wazazi watarajiwa na elimu hii ni endelevu kwani jamii inapata kubadilika .
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.