Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani kwa wilaya ya Uvinza yamefanyika katika Sekondari ya Wasichana Lugufu , kwa kambatana na michezo mbalimbali.
Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mh Dinah Mathamani amegawa taulo za kike kwa sekondari ya wasichana Lugufu katika sherehe za Uzinduzi wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.