CHANJO YA POLIO AWAMU YA TATU YAVUKA MALENGO-UVINZA
Halmashauri ya uvinza imevuka lengo lililotaraliwa katika Kampeni ya chanjo ya Polio awamu ya tatu, chanjo iliyotolewa kwa jumla ya watoto 138,800 kati ya watoto 116,792 lengwa waliochini ya miaka mitano ambayo ni sawa na asilimia 118.8%
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.