Afisa kilimo wilaya ya Uvinza Bi. Toligwe Kaisi amasema soko la karanga lipo na wananchi wamekuwa wakinufaika na zao hilo kupitia biashara ya kuuza karanga zikiwa zimechemshwa, kukaangwa au kusangwa kwa matumizi ya kuungia mbona na kulia mikate.
Hayo ameyasema Bi Toligwe alipotembelea shamba la majaribio ya mbegu za karanga aina tatu katika kijiji cha Msebei kata ya Basanza
“karanga zimekuwa na soko hata ukiangalia akina mama sokoni na kwenye standi za magari mbalimbali nchini, wanauza sana karanga na wanatunza familia zao kupitia karanga” amesema Bi. Toligwe
.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.