Ikiwa ni muendelezo wa kuhamasisha zao la Pamba, Mratibu wa zao la Pamba wilaya ya Uvinza Bw. Masolwa Salum ameandaa shamba darasa la mfano kwa wakulima mbalimbali kwa lengo la wakulima kujifumdishia mbinu mbalimbali za uzalishaji wa Pamba yenye tija.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.