Watumishi Uvinza watakiwa kuzingatia kanuni na sheria katika kutekeleza majukum.
Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Rashid Mchatta (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Baraza la Madiwani wilaya ya Uvinza baada ya kikao maalum cha ukaguzi na uthibiti wa hesabu za serikali.
Katibu tawala Mkoa wa Kigoma Rashidi Mchatta kwa niaba ya mkuu wa Mkoa, amewataka wa watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Uvinza kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni, taratibu na sheria katika utekelezaji wa majuku yao.
Wakuu wa idara katika picha ya pamoja na Katibu Tawala mkoa, Rashid Mchatta( wane kutoka kulia)
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.