KIKAO CHA WADAU
REDCROSS ni mdau mkubwa katika kuleta maendeleo wilayani uvinza, hivi karibuni RED CROSS imefanya kikao cha kuridhia ujenzi wa miundo mbinu ya maji , vyoo na umeme jua katika shule za Uvinza Maalum(mfumo wa maji). Shule ya Msingi Uvinza(mfumo wa maji), Shule ya Msingi Msebei miundombinu ya vyoo na maji), Luchugi Sekondari(Mfumo Wa Umeme Jua), Lugufu Girls(Mfumo Wa Umeme Jua)
na mwakizega (mfumo wa umeme jua)
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.