• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
UVINZA DISTRICT COUNCIL
UVINZA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Idara/Vitengo
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mpango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo yaJamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Mipango miji na mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Whe. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI WAKUTANA UVINZA

Posted on: May 12th, 2022

WAKALA WA MAJI NA USAFI WA MAZINGIRA VIJIJINI (RUWASA) WAMEFANYA KIKAO CHA TATU NA WADAU WA MAJI -UVINZA.

Jumuiya za watumia maji wilaya ya uvinza wakutana katika mkutano mkuu wa tatu na kujadili namna ya kukabiliana na changamoto za maji katika wilaya .

Mkuatano huo umefanyika katika ukumbi wa Makondeko uliopo kata ya Uvinza tarehe 11 mei 2022, wamehudhuria wanajumuiya za watumia huduma za maji na wadau wa maji.

Naye Afisa Maendeleo ya jamii wilaya ya Uvinza Boniphace Matete kwa niaba ya mkuu wa wilaya ya Uvinza, amewashukuru wadau wa maji kuhakikisha huduma za maji zinapatikana na pia amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika kulinda vyanzo vya maji kwa maslahi mapana ya jamii.

Pia amesisitiza kuwa serikali inahakikisha kuwa kila mwanachi anafunga maji nyumbani katika juhudi za kupambana kumtua  ndoa mama kichwani


Afisa Maendeleo ya Jamiii RUWASA wilaya ya Uvinza Joshua Adam akiwamwakilisha meneja RUWASA Uvinza, amebainisha kuwa lengo la RUWASA ni kuhakikisha inatoa huduma ya maji safi na salama kwa wananchi pia amesisitiza jumuiya za watumia maji kuendelea kusimamia miradi ya maji ili iwe endelevu.

Kaimu Afisa Mazingira wilaya ya Uvinza Nassir Othman amesema wanajumuiya za watumiamaji pamoja na wadau wa maji kuwaa ni jukumu letu sote kuhakikisha  utunzaji wa vyanzo vya maji unalindwa na wanajamii wenyewe.


Vilevile Mhasibu wa RUWASA David P. Ngalibaka mkoa Kigoma amewakumbusha Jumuiya ya watumia maji kuhusu usimamizi wa fedha pamoja na ulipaji ankra za maji  kwa wakati ili pesa zinazopatikana zisaidie katika ukarabati wa miundo mbinu chakavu katika maeneo yao.

Katika mkutano huo jumuiya za watumia maji wameishukuru RUWASA na serikali kuendelea kutoa huduma ya miundombinu maji ili kuhaikisha wananchi wanaepukana na changamoto ya kero ya maji.

Matangazo

  • MAONESHO YA BIASHARA KIGOMA May 07, 2022
  • KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI May 06, 2022
  • MAONESHO YA BIASHARA MKOA WA KIGOMA May 07, 2022
  • TANGAZO LA KAZI YA MKATABA April 11, 2022
  • Angaliza Zote

Taarifa za hivi Punde

  • Ubomoaji wa mnara wa simu Wilaya ya Uvinza

    May 23, 2022
  • JUMUIYA ZA WATUMIA MAJI WAKUTANA UVINZA

    May 12, 2022
  • MPANGO WA KUJIANDAA KUKABILIANA NA MAAFA

    March 10, 2022
  • UZINDUZI MAADHDHIMISHO SIKU YA MWANAMKE DUNIANI

    March 04, 2022
  • Angaliza Zote

Video

MAELEZO YA Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Uvinza na Mkurugenzi Mtengaji Kuelekea Nanenane 2020
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • News

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • Utumishi na Utawala Bora
  • TOVUTI YA MKOA WA KIGOMA
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uvinza - Lugufu Area

    Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA

    Simu ya Mezani: 0282988503

    Simu: 0757894484

    Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.