Mkuu wa wilaya ya Uvinza Mh.Dinah Mathamani amefanya ziara katika shule ya sekondari Lagosa kuona ujenzi wa miundombinu ya madarasa mapya na mabweni iliyojengwa kwa ufadhili wa Shirika la TUUNGANE na Hifadhi ya MIlima ya MAHALE.
Mh.Dinah Mathamani alipotembelea shule ya sekondari Lagosa kijiji cha Lagosa kata ya Igalula na kujionea Serikali ya Tanazania inavyowapokea wawekezaji katika kuhakikisha miundumbinu ya madarasa inaboreshwa na wanafunzi wanapata mazingira mazuri na rafiki ya kujifunzia kwa kuhakishia wanawapunguzia umbali wakufata elimu.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.