Afisa Michezo, Utamaduni na Sanaa Halmashauri ya Wilaya Uvinza Bw. Willson Emmanuel akisisitiza jambo kwenye Bonanza la Michezo, Utamaduni na Sanaa lililofanyika katika kijiji cha Lyabusende tarehe 4 Novemba 2023
Kwa wakati tofauti, Afisa Michezo Utamaduni na Sanaa Wilson Emmanuel akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa Michezo, Utamaduni na Sanaa kata ya Sunuka Kijiji cha Lyabusende. Alipokwenda kuwatembelea siku ya jana tarehe 3/11/2023 kujua kero n changamoto wanazokutana nazo wanapokuwa wakitekeleza majukum yao.
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.