• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
UVINZA DISTRICT COUNCIL
UVINZA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Idara/Vitengo
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mpango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo yaJamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Mipango miji na mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Whe. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Nyuki

KITENGO CHA NYUKI HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA

1: UTANGULIZI

Ufugaji wa nyuki unafanyika kwa kuzingatia sera ya Taifa ya ufugaji Nyuki ya mwaka 1998, sheria ya ufugaji Nyuki ya mwaka 2002 na Kanuni za ufugaji Nyuki ya mwaka 2005. Sera ya Taifa ya ufugaji Nyuki ya mwaka 1998 imelenga mambo makuu matatu ambayo ni:-

  • Kukuza uchumi wa Taifa
  • Kuhifadhi Mazingira
  • Manufaa ya kijamii

2: KITENGO CHA UFUGAJI NYUKI

Ni miongoni mwa vitengo sita (6) katika Halmashauri ya wilaya ya Uvinza. Kitengo hiki kinatekeleza majukumu yake kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo mbalimbali inayotolewa na Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Maliasili na Utalii.

3:0 MAJUKUMU YA KITENGO CHA UFUGAJI NYUKI

  • Kuhakikisha wafugaji wa Nyuki wanapata elimu juu ya ufugaji bora na teknolojia mpya za uzalishaji mazao ya nyuki kama,asali, nta n.k
  • Kutoa elimu juu ya uchakataji, ufungashaji na biashara ya mazao ya Nyuki
  • Kusimamia sera, sheria na kanuni za ufugaji nyuki
  • Kusimamia uanzishaji na uhifadhi wa manzuki
  • Kuondoa Nyuki wanao hatarisha usalama katika makazi ya watu
  • Kukusanya takwimu za uzalishaji wa mazao ya Nyuki na kuandaa taarifa za utekelezaji

3:1 Elimu inayotolewa

Elimu inayotolewa inahusu mambo yafuatayo:-

  • Nyuki na tabia zake
  • Maadui wa nyuki na namna ya kuwakabili
  • Ufugaji nyuki wa kisasa
  • Matumizi ya zana za ufugaji na uvanaji
  • Uanzishaji na usimamizi wa manzuki
  • Uambikaji, utundikaj na uingizaji wa makundi ya Nyuki katika mizinga
  • Mazao ya Nyuki
  • Sera, Sheria na Kanuni za ufugaji Nyuki
  • Elimu ya ujasilimia mali
  • Elimu ya utunzaji mzingira kwa ajili ya ufugaji mahuluku

 

4: FAIDA ZA UFUGAJI NYUKI

  • Nyuki hawahitaji uangalizi wa kila siku
  • Ufugaji Nyuki hauhitaji mtaji mkubwa na mapato yatokanayo na shughuri hii hupatikana kwa muda mfupi
  • Hauhitaji ardhi yenye rutuba
  • Ufugaji wa Nyuki unawezwa kufanywa na wanaume na wanawake wa rika zote
  • Ni ajira binafsi
  • Asali ni chakula bora lakini mazao mengine ya Nyuki kama nta, mboji, jeli ya kifalme ni biashara kwani hutumika viwandani katika utengenezaji wa mishumaa, mafuta, dawa n.k
  • Huongeza uzalishaji wa Mazao mengine kama alizeti, matunda n.k
  • Ufugaji Nyuki unatunza ikolojia na kuboresha baionuwai

 

5: KIKUNDI CHA UFUGAJI

Ili kuanzisha kikundi cha ufugaji Nyuki taratibu zifuatazo zifuatwe:

  • Kikundi kiwe na katiba
  • Kisajiliwe kwa Mkurugenzi wa Halmashauri (wasiliana na Afisa mtendaji kuhusu taratibu za kusajili kikundi)
  • Wanakikundi wawetayari kupewa mafunzo ya ufagaji Nyuki na ujasilia mali. Mafunzo yatatolewa kwa muda na siku mtakayo kubaliana na wataalam

Zingatia: Ufugaji binafsi au kikundi kuanzishwa inabidi kuzingatia sana uwepo wa eneo la kufugia Nyuki (Manzuki).

6: VITUO VYA UKUSANYAJI NA UCHAKATAJI WA MAZAO YA NYUKI KATIKA HALMASHAURI

Ili kua na mazao ya Nyuki yenye kukidhi viwango vya ubora kwa ajili masoko ya kimataifa na  soko la ndani kwa ajili ya afya za watumiaji na kupata idhini kutoka katika mamla ya chakula na shirika la viwango TBS, Halmashauri ina vituo vya ukusanyaji na uchakataji Mazao yanyuki, vifuatavyo:-

  • Chama cha Ushirika cha Wafugaji Nyuki Mfungezi (Mfungezi Beekeepers Cooperatives)
  • Mahali: Nguruka
  • Chama cha Ushirika cha Wafugaji Nyuki Kazaroho (Kazaroho Beekeepers Cooperatives)

Mahali: Uvinza

  • Chama cha Ushirika cha Wafugaji Nyuki Mwakila (Mwakila Beekeepers Cooperatives)

Mahali: Ilagala

 

7: WADAU

Ni mashirika, wakala, taasisi au watu binafsi ambao huwezesha Kitengo cha Nyuki katika utekerezaji wa majukumu. Mfano wa wadau hao ni; TFS, BTC, Jane Goodall, TUUNGAME, n.k

  • Wadau, wakala, taasisi na watu binafsi mnakaribishwa sana kuwezesha/kushiriki na Kitengo cha Ugugaji Nyuki kwa pamoja ili kufikia lengo la sera ya ufugaji Nyuki ya mwaka 1998 ambayo ni:-
  • Kukuza uchumi wa Taifa
  • Kuhifadhi Mazingira
  • Manufaa ya kijamii (kuinufaisha jamii)

 

 

8: MAWASILIANO

Barua pepe: 

  • uvinzanyuki@gmail.com
  • ded@uvinzadc.go.tz

Imeandaliwa na:

                       Kapama Justin, R.

Kitengo cha Ufugaji Nyuki

Halmashauri ya Wilaya

Uvinza.

Matangazo

  • HER YA SIKUKUU YA SABASABA July 07, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA SENSA July 18, 2022
  • TANGAZO WASIO NA NIDA July 19, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI July 25, 2022
  • Angaliza Zote

Taarifa za hivi Punde

  • Wakuu wa Idara na Vitengo wakutana na Mkuu wa Wilaya Uvinza

    February 08, 2023
  • Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, aongoza mazishi ya kifo cha Afisa misitu Uvinza.

    February 07, 2023
  • kikao cha mapitio ya bajeti 2023/2024

    February 07, 2023
  • Maadhimisho ya Siku ya Sheria Wilayani Uvinza

    February 03, 2023
  • Angaliza Zote

Video

MAELEZO YA Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Uvinza na Mkurugenzi Mtengaji Kuelekea Nanenane 2020
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • News

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • Utumishi na Utawala Bora
  • TOVUTI YA MKOA WA KIGOMA
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uvinza - Lugufu Area

    Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA

    Simu ya Mezani: 0282988503

    Simu: 0757894484

    Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.