Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza anawapongeza na kuwakaribisha waliopata nafasi za Ajira kwa kada ya Afya na Elimu na kupangiwa kufanya kazi katika Wilaya yetu ya Uvinza.
Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji inatoa mawasiliano kwa ajili ya kutatua changamoto zitakazo jitokeza wakati wa zoezi zima la kuripoti na kufika vituo vya kazi kupitia tangazo >>> Mawasiliano.jpg
Pia wanaoripoti wanaweza kujiunga mtandao wa kijamii moja kwa moja kupitia hapa. (WAAJIRIWA WAPYA TU) Bofya >> https://chat.whatsapp.com/JZqb4F9A34EAbemEnwlaMi
KARIBUNI SANA
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.