Kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Uvinza kinafanyika leo katika Ukumbi wa jengo la utawala la hospitali ya wilaya ya Uvinza. kikao ni cha kawaida cha kisheria cha kujadili mambo mbalimbali ya kimaendeleo.
Mkurugenzi wa Halmashauri anawakaribisha wananchi wote kuhudhuria ili kujua mambo ya kimaendeleao yanayotekelezwa katika Halmashauri
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.