JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA
HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA
11/1/2022
TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI VIPORO KWA MWAKA FEDHA 2020/2021
Halmashauri imeendelea kutekeleleza Miradi mbali mbali viporo ya Maendeleo kwa fedha za mwaka 2020/2021 kwa Idara za Elimu na Afya kama inavyonekana kwenye jedwali namba 1-3 hapo chini,
Naomba kuwasilisha,
Zainab S. Mbunda
Mkurugenzi Mtendaji (W)
UVINZA.
JEDWALI NA. 1: TAARIFA ZA UTEKELEZAJI WA MIRADI VIPORO KWA FEDHA ZA UFADHILI WA EP4R 2020/2021
Na |
Mkoa
|
Halmashauri
|
Sekta
|
Aina ya Boma
|
Mahali Boma lilipo/
Jina la kata |
Mahali Boma lilipo/Jina la Mradi
|
Utekelezaji Kimaumbile
|
Chanzo cha Fedha |
Fedha Pokelewa |
Fedha Iliyotumika
|
Gharama za ukamilishaji
|
Mwaka Mradi Ulipojengwa
|
1
|
Kigoma
|
Uvinza
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Sunuka
|
Kukamilisha ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na ofisi shule ya Msingi Anzarani Ifikapo Juni, 2021
|
Jengo lipo hatua ya usafi (Kupaka rangi)
|
EP4R
|
25, 003,816
|
24,449,816 |
15,000,000
|
2020/2021
|
2
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Nguruka
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa madarasa 2 shule ya Msingi Buze Ifikapo Juni 2021
|
Ipo hatua ya uwekaji wa vigae kwenye kolido
|
EP4R
|
25, 003,816 |
20,179,000 |
7,500,000
|
2020/2021
|
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Nguruka
|
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi 1 Shule ya Msingi Nyangabo ifikapo Juni, 2021.
|
Hatua ya upakaji rangi
|
EP4R
|
40, 000,000 |
34,400,000 |
18,756,200
|
2020/2021
|
3
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Mganza
|
Ujenzi wa vyumba 9 vya madarasa na jengo la utawala Shule Mpya katika eneo la shule ya Msingi Mpeta Ifikapo Juni, 2021
|
Mradi umefikia hatua ya jamvi
|
EP4R
|
250,000,000 |
20,440,000 |
46,500,750
|
2020/2021
|
4
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Mganza
|
Ujenzi wa vyumba 2 vya madarasa na matundu 6 ya vyoo katika shule ya Msingi Mpeta Ifikapo Juni, 2021
|
Ujenzi umekamilika
|
EP4R
|
46, 600,000 |
44,402,000 |
5,752,500
|
2020/2021
|
5
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Ilagala
|
Ukamilishaji wa chumba 1 cha darasa shule ya Msingi Kajeje A ifikapo Juni, 2021’
|
Jengo limefikia hatua ya lenta kwa nguvu za wananchi
|
EP4R
|
12,501,908 |
0 |
35,7645,023
|
2020/2021
|
6
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Ilagala
|
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi 1 Shule ya Msingi Kabuyange ifikapo Juni, 2021.
|
Ujenzi upo hatua ya msingi
|
EP4R
|
40,000,000 |
1,500,000 |
15,457,300
|
2020/2021
|
7
|
|
|
Elimu Msingi
|
Vyumba vya madarasa na ofisi 1
|
Sunuka
|
Ukamilishaji wa chumba 1 cha darasa shule ya Msingi Msihezi ifikapo Juni, 2021
|
Ipo hatua ya uwekaji wa madawati 15 unaendelea
|
EP4R
|
12,501,908 |
10,946,000 |
9,400,000
|
2020/2021
|
8
|
|
|
Elimu Msingi
|
Darasa 1
|
Sunuka
|
Ukamilishaji wa darasa 1 shule ya Msingi Songambele ifikapo Juni 2021
|
Ipo hatua ya usafi (Kupiga plaster)
|
EP4R
|
12,501,908 |
8,825,000 |
9,760,200
|
2020/2021
|
9
|
|
|
Elimu Msingi
|
Matundu ya vyoo
|
Sunuka
|
Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo Shule ya Msingi Nyasimbi ifikapo Juni, 2021
|
Ujenzi upo hatua ya kujengea mashimo 2 na yamefunikwa tayari
|
EP4R
|
13,200,000 |
12,200,000 |
12,000,500
|
2020/2021
|
10
|
|
|
Elimu Msingi
|
Matundu ya vyoo
|
Basanza
|
Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo Shule ya Msingi Nyamgeni ifikapo Juni, 2021
|
Ujenzi upo katika hatua ya ujenzi wa ukuta, mashimo yamekamilika
|
EP4R
|
13,200,000 |
12,300,000 |
12,000,500
|
2020/2021
|
11
|
|
|
Elimu Msingi
|
Madarasa na ofisi 1
|
Igalula
|
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi 1 Shule ya Msingi Ikubulu ifikapo Juni, 2021
|
Hatua ya jamvi, Vifaa vyote vya kununua dukani viko stoo shuleni
|
EP4R
|
40,000,000 |
26,766,000 |
40,765,100
|
2020/2021
|
12
|
|
|
Elimu Msingi
|
Madarasa na ofisi 1
|
Uvinza
|
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi 1 Shule ya Msingi Uvinza Maalum ifikapo Juni, 2021.
|
Hatua ya upauaji
|
EP4R
|
40,000,000 |
9,272,000 |
20,756,500
|
2020/2021
|
13
|
|
|
Elimu Msingi
|
Madarasa na ofisi 1
|
Kalya
|
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi 1 Shule ya Msingi Tambusha ifikapo Juni, 2021.
|
Hatua ya lenta
|
EP4R
|
40,000,000 |
36,480,718 |
20,756,500
|
2020/2021
|
14
|
|
|
Elimu Msingi
|
Matundu ya vyoo
|
Uvinza
|
Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo vya wanafunzi na walimu Shule ya Msingi Muungano ifikapo Juni, 2021
|
Ujenzi upo hatua ya kujengea mashimo 3 ambayo yamechimbwa tayari
|
EP4R
|
13,200,000 |
290,000 |
12,7456,500
|
2020/2021
|
15
|
|
|
Elimu Msingi
|
Matundu ya vyoo
|
Uvinza
|
Ujenzi wa matundu 12 ya vyoo vya wanafunzi Shule ya Msingi Kachilingulo ifikapo Juni, 2021
|
Ujenzi upo hatua ya awali ya kuchimba shimo
|
EP4R
|
13,200,000 |
0 |
13,200,000
|
2020/2021
|
16
|
|
|
Elimu Msingi
|
Matundu ya vyoo
|
Kazuramimba
|
Ujenzi wa matundu ya vyoo vya wanafunzi na walimu Shule ya Msingi Kazuramimba ifikapo Juni, 2021
|
Ujenzi upo hatua ya msingi
|
EP4R
|
41,801,125 |
0 |
13,500,000
|
2020/2021
|
|
|
|
|
|
|
|
JUMLA KUU
|
|
665,514,481
|
250,250,534
|
746,207,573 |
|
JEDWALI NA 2 : IDARA YA ELIMU SEKONDARI, MIRADI VIPORO YA MWAKA 2020/2021
Na |
Mkoa
|
Halmashauri
|
Sekta
|
Aina ya Boma
|
Mahali Boma lilipo/Jina la kata |
Jina la Mradi |
Utekelezaji Kimaumbile |
Chanzo cha Fedha |
Fedha Pokelewa |
Matumizi |
Gharama za ukamilishaji
|
Mwaka Mradi ulipojengwa
|
1 1 |
kigoma
|
Uvinza
|
Elimu sekondari
|
Bweni
|
Uvinza
|
Ujenzi wa bweni 1 shule ya sekondari ya Wasichana Lugufu
|
Ujenzi upo hatua ya kupiga lenta
|
P4R
|
80,000,000
|
12, 250,000
|
80,000,000
|
2020/2021
|
2 |
|
|
Elimu sekondari
|
bweni
|
Uvinza
|
Ujenzi wa bweni 1 shule ya sekondari ya Wavulana Lugufu
|
Ujenzi upo hatua ya msingi
|
P4R
|
80,000, 000 |
11, 620,000 |
80,000,000
|
2020/2021
|
3 |
|
|
Elimu sekondari
|
Madara 2
|
Sunuka
|
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Sunuka
|
Ujenzi upo katika hatua ya usafi
|
P4R
|
40,000, 000 |
34, 200,000 |
20,565,760
|
2020/2021
|
4 |
|
|
Elimu sekondari
|
Madara 2
|
Nguruka
|
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari Nguruka
|
Ujenzi umekamilika
|
P4R
|
40, 000,000 |
37, 000,000 |
20,765,400
|
2020/2021
|
5 |
|
|
Elimu sekondari
|
Matundu ya vyoo
|
Mtegowanoti
|
Ujenzi wa matundu ya vyoo shule ya sekondari Nyamagoma
|
Ujenzi upo katika hatua ya ukamilishaji
|
P4R
|
13,200, 000 |
13, 200,000 |
13,000,000
|
2020/2021
|
6 |
|
|
Elimu sekondari
|
Matundu ya vyoo
|
Sunuka
|
Ujenzi wa matundu ya vyoo shule ya sekondari Sunuka
|
Ujenzi upo katika hatua ya ukamilishaji
|
P4R
|
13,200, 00 |
9, 200,000 |
12,560,000
|
2020/2021
|
|
|
|
|
|
|
|
JUMLA
KUU |
|
266,400,000
|
117,470,000
|
226,891,160
|
|
Na. |
Mkoa
|
Halmashauri
|
Sekta
|
Aina ya Boma
|
Jina la
kata |
Lengo / jina la Mradi
|
Utekelezaji Kimaumbile |
Chanza cha Fedha |
Fedha pokelewa |
Fedha iliyotumika.
|
Gharama za Ukamilishaji
|
Mwaka Mradi Ulipojengwa
|
1
|
kigoma
|
Uvinza
|
Mipango
|
Jengo la Utawala
|
Uvinza /Lugufu
|
Ujenzi wa jengo la Utawala
|
Jengo lipo hatua ya kujenga kuta, za juu
|
Serikali Kuu
|
128,000,000
|
128,000,000
|
1000,000,000
|
2016/2017
|
2
|
|
|
Afya
|
Wodi 2
|
Uvinza /Lugufu
|
Ujenzi wa wodi 2 katika Hospitali ya Wilaya
|
Ujenzi unaendelea
|
Serikali Kuu
|
500,000,000
|
444,951,301
|
200,000,000
|
2020/2021
|
3
|
|
|
Afya
|
Vifaa tiba
|
Uvinza /Lugufu
|
Ununuzi wa vifaa tiba vya Hospitali ya Wilaya
|
Taratibu za manunuzi zinendelea kupitia MDS
|
Serikali Kuu
|
500,000,000
|
0
|
500,000,000
|
2020/2021
|
4
|
|
|
Afya
|
Ukamilishaji wa zahanati
|
Mwakizega
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa zahanati ya Katete
|
Ujenzi upo katika hatua ya ukamilishaji
|
Serikali Kuu
|
50,000,000
|
50,000,000
|
25,000,000
|
2020/2021
|
5
|
|
|
Afya
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa zahanati
|
Buhingu
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa zahanati ya Kalilani
|
Ujenzi unaendelea kazi zinazoendelea kufanyika, lipu na kupaka rangi
|
Serikali Kuu
|
50,000,000
|
50,000,000
|
25,000,000
|
2020/2021
|
6
|
|
|
Afya
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa zahanati
|
Kalya
|
Ukamilishaji wa ujenzi wa zahanati ya Lufubu
|
Ujenzi unaendelea kazi zinazoendelea kufanyika ni kupiga lipu na kupaka rangi
|
Serikali Kuu
|
50,000,000 |
50,000,000 |
25,000,000
|
2020/2021
|
7
|
|
|
Afya
|
Nyumba ya Mganga
|
Itebula
|
Ujenzi wa nyumba ya Mganga zahanati ya Itebula
|
Ujenzi upo hatua ya jamvi, ambao ulifanyika hatua ya kwanza, kwa sasa manunuzi ya vifaa unaendelea
|
Serikali Kuu
|
39,000,000 |
0 |
15,000,000
|
2020/2021
|
8
|
|
|
Afya
|
Wodi ya wazazi
|
Chagu
|
Ujenzi wa wodi ya wazazi zahanati ya Chagu
|
Ujenzi upo hatua ya lenta, manunuzi ya vifaa unaendelea
|
Serikali Kuu
|
42,000,000 |
0 |
10,000,000
|
2020/2021
|
9
|
|
|
Afya
|
Nyumba ya Mganga
|
Rukoma
|
Ujenzi wa nyumba ya mganga zahanati ya Rukoma
|
Ujenzi upo hatua ya msingi, na ununuzi wa vifaa unaendelea
|
|
15,000,000 |
0 |
15,000,000
|
2020/2021
|
10
|
|
|
Afya
|
Ukamilishaji wa zahanati
|
Mtegowa noti
|
Ukamilishaji wa zahanati ya Mtegowanoti
|
Ujenzi upo hatua ya lenta, manunuzi ya vifaa unaendelea
|
Serikali Kuu
|
42,000,000 |
0 |
10,000,000
|
2020/2021
|
11
|
|
|
Afya
|
Wodi ya wazazi
|
Mwamila
|
Ujenzi wa wodi ya wazazi Zahanati ya Mwamila
|
Ujenzi upo hatua ya usafi
|
Serikali Kuu
|
35,000,000 |
35,000,000 |
40,000,000
|
2020/2021
|
12
|
|
|
Afya
|
Kituo cha Afya
|
Sunuka
|
Ujenzi wa kituo cha afya Sunuka
|
Ujenzi upo hatua ya msingi, hatua ya manunuzi ya vifaa unaendelea
|
Serikali Kuu
|
400,000,000 |
0 |
400,000,000
|
2020/2021
|
|
|
|
|
|
|
|
JUMLA KUU |
|
1,851,000,000
|
185,000,000
|
2,265,000,000
|
|
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.