• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali na Majibu |
    • Barua Pepe ya Ofisi |
UVINZA DISTRICT COUNCIL
UVINZA DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Idara/Vitengo
    • Muundo wa Utawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mpango na Takwimu
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Ardhi na Maliasili
      • Maendeleo yaJamii na Ustawi wa Jamii
      • Ujenzi na Zima Moto
      • Maji
      • Usafi na Mazingira
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Uchaguzi
      • Ugavi na Manunuzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Mipango miji na mazingira
      • Elimu, Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Whe. Madiwani
      • Kuonana na Mhe. Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi Itakayo Tekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti Mbalimbali
    • Fomu Mbalimbali
    • Miongozo Mbalimbali
  • Kituo Cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

MGAWAWANYO WA FEDHA ZA TASAF WILAYA YA UVINZA NUSURA ZIONDOKE NA MTU BAADA YA ZIARA YA MHE. WAZIRI MKUCHIKA.

Posted on: September 25th, 2018

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Kapt (Mst) George H. Mkuchika (Mb), leo tarehe 25, Septemba 2018 amefanya ziara ya kikazi katika wilaya ya Uvinza Mkoani Kigoma. Miongoni mwa shughuli alizofanya ni pamoja na kukutana na walengwa wa kaya masikini wanaohudumiwa na mfuko wa TASAF katika kata ya Kazuramimba Wilayani hapa.

Kabla ya kuelekea kata ya Kazuramimba alipata fursa ya kuongea na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya  Uvinza pamoja na watumishi wa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Uvinza katika Ukumbi wa Halmashauri.

 Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Bw. Msongo Songoro alisoma taarifa ya Wilaya kwa Waziri huyo. Baada ya taarifa ya Kaimu Mkurugenzi, pia Mratibu wa TASAF ngazi ya Halmashauri alipata nafasi ya kusoma taarifa ya TASAF kwa Waziri. Hapo ndipo Mhe. Waziri alipoanza kuhoji matumizi na mgawanyo wa fedha za TASAF kwa ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Uvinza. Fuatilia kilichotokea kupitia. >>>   https://www.youtube.com/watch?v=vNiLVZ7np4M&feature=youtu.be

Matangazo

  • FURSA YA UWEKEZAJI KATIKA KILIMO CHA MICHIKICHI WILAYANI UVINZA - MKOANI KIGOMA March 15, 2021
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA September 17, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 31, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI KWAWATENDAJI WA VIJIJI March 28, 2018
  • Angaliza Zote

Taarifa za hivi Punde

  • MAAJABU YA WILAYA YA UVINZA KUELEKEA MAAZIMISHO YA NANENANE 2020

    August 06, 2020
  • KONGAMANO KUBWA LA KIBIASHARA KATIKA NCHI ZINAZOZUNGUKA ZIWA TANGANYIKA - TANGANYIKA BISINESS SUMMIT AND FESTIVAL 2019

    May 09, 2019
  • MGAWAWANYO WA FEDHA ZA TASAF WILAYA YA UVINZA NUSURA ZIONDOKE NA MTU BAADA YA ZIARA YA MHE. WAZIRI MKUCHIKA.

    September 25, 2018
  • WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA UVINZA WAPATA NEEMA

    March 27, 2018
  • Angaliza Zote

Video

MAELEZO YA Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Uvinza na Mkurugenzi Mtengaji Kuelekea Nanenane 2020
Video Zaidi

Kurasa za Karibu

  • News

Kurasa Mashuhuri

  • TAMISEMI
  • BARAZA LA MITIHANI
  • Utumishi na Utawala Bora
  • TOVUTI YA MKOA WA KIGOMA
  • SALARY SLIP

World visitors tracker

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uvinza - Lugufu Area

    Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA

    Simu ya Mezani: 0282988503

    Simu: 0757894484

    Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.