Katika maonyesho ya Nanenane ya mwaka 2020 yanayoendele hapa Mkoani Tabora, Wilaya ya Uvinza kupitia Mkuu wa Wilaya Bi. Mwananvua Mrindoko pamoja na Mkurugenzi Mtendaji Arch. Weja L. Ngolo wamepata fursa ya kuelezea hali ya maendeleo ya Wilaya ya Uvinza. Fuatilia zaidi. https://www.youtube.com/watch?v=_710E4ONyRg&t=8s
UVINZA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la Posta: P. O. BOX 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0767355345
Simu: +255757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.