A: Leseni ya Biashara
Hiki ni kibali maalum cha Serikali kinachotolewa kwa mfanyabiashara yeyote anapotaka kufanya biashara hapa nchini. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya 1972 – Kifungu cha 3(a) kimeweka bayana kuwa, Kibali hicho maalumu kinaitwa Leseni ya Biashara. Kwa hiyo basi, kufanya biashara yoyote bila kuwa na kibali hiki ni kosa la jinai.
Ili Mwombaji Apate Leseni Ya Biashara Anapaswa Kumbatanisha Nyaraka Zifuatazo:
Utaratibu Wa Kupewa Leseni:
Jaza fomu ya maombi ya Leseni (TFN 211 ya 2004) ... Pakua fomu ya maombi hapa...
UVINZA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la Posta: P. O. BOX 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0767355345
Simu: +255757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.