Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kusini kwa kuzingatia kanuni za Uchaguzi wa Rais na Wabunge za Mwaka 2020, anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi za Watendaji wa Uchaguzi Mkuu utakaofanyika tarehe 28 Oktoba, 2020. Soma >>> TANGAZO LA KAZI.pdf
UVINZA DISTRICT COUNCIL
Sanduku la Posta: P. O. BOX 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0767355345
Simu: +255757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki Miliki©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.