Halmashauri ya wilaya ya Uvinza iliuza viwanja kwa wananchi katika awamu ya kwanza Juni 2016. Mnatangaziwa kulipia viwanja hivyo kwa wale ambao bado wanadaiwa. Bonyeza hapa( viwanja.pdf ) kupata orodha ya wamiliki wa viwanja.
LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI
HALMASHAURI YA WILAYA YA UVINZA
Uvinza - Lugufu Area
Sanduku la Posta: P.O Box 12 UVINZA
Simu ya Mezani: 0282988503
Simu: 0757894484
Barua Pepe: ded@uvinzadc.go.tz
Haki MilikiĀ©2017 Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza . Haki zote zimehifadhiwa.